Tuesday, 13 August 2013

HAPPY BIRTHDAY FARID KUBANDA ''FID Q''

Hii ni picha ya msanii wa miondoko ya HIPHOP kutoka TANZANIA ''fid Q'' alipokuwa kipindi cha utoto wake. Leo
ni AUGUST 13 ambapo ndiyo siku aliyozaliwa STAR huyu. Watu Smart Entertainment Company inakutakia Fid Q maisha mema na yenye furaha siku zote za maisha yako.


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...