Tuesday, 13 August 2013

NEY WA MITEGO APATA CHANGAMOTO JUU YA NYIMBO YAKE MPYA YA ''SALAM ZAO''

Hiyo ni moja kati ya changamoto alizozipata Ney Wa Mitego juu ya nyimbo yakempya ya ''salam zao'' ambapo
aliimba mstari wa kuwasema watu waliokula hela katika msiba wa marehemu Ngwea.
Ney alifunguka na kusema kuwa Zipo nyingi zingine za vitisho,nitazipost zote watu wangu mujue leo nimeanza na iyo..!! Ukweli unauma sana!! siogopi vitisho vyenu,, pelekeni hela kwa ndugu wa marehem bado nafasi mnayo ata kimya kimya,, mi Nikifa sihitaji kamati za ki**enge kwenye msiba wangu, maana watu wanafanya misiba yetu mitaji yao,” 



Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...