Friday, 2 August 2013

MSANII SHAA AFIWA NA MAMA YAKE MZAZI.

 Hiyo ni tweet aliyopost salama jabri wa bongo star search &MKASI akitoa taarifa kuthibitisha kifo cha mama wa msanii wa aliyekuwa kundi la WAKILISHA
''SARAH KAISI'' a.k.a SHAA. Taarifa zaidi kuhusu msiba zitakujia hivi punde.
WATU SMART ENTERTAINMENT inatoa pole kwa SHAA pamoja na ndugu,jamaa na marafiki wa marehemu.
MWENYEZI MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI.AMINA;