Wednesday, 25 September 2013

Hatimaye Black Rhyno apata mtoto wa kike


Rapper Black Rhyno a.k.a Black Chata, ambaye ni ndugu wa damu na msanii profesa J, jana amefanikiwa kuitwa baba baada ya mkewe kujifungua mtoto wa kike,
Huu ni ujumbe aliouandika katika ukurasa wake wa FACEBOOK
"Mwenyezi mungu Amenibariki sana siku ya Leo kanipa zawadi kubwa mnoooooooo! MKE WANGU AMEJIFUNGUA MTOTO WA KIKE saa 7 na nusu hospitali ya Taifa ya Muhimbili mama na mtoto wako fine.ASANTE MUNGU (THANX GOD FOR BLESSING MY WIFE WITH A BaBY GIRL ONE HOUR EARLY"