Wednesday, 25 September 2013

Tazama Artwork ya Music Video mpya ya 2030 kutoka kwa ROMA Mkatoliki.


Hii ni artwork ya video ya wimbo wa 2030 ambao ROMA aliutoa mwaka jana (2012),
Music video hii imetengenezwa na Director Nisha kutoka mkoani ARUSHA.
Kaa tayari kuitazama video hii ambapo itaachiwa rasmi mwanzoni mwa mwezi wa 10 mwaka huu(2013)