Tuesday, 17 September 2013

MADEE AFUNGUKA KUHUSU MJENGO WAKE ANAOJENGA MAENEO YA MBEZI KIMARA


Madee ni mwanamuziki kati ya wanamuziki wachache wachache kutoka Tanzania ambao wamedumu katika makundi yao ya muziki mpaka sasa. MADEE ambaye hivi karibuni ali-post picha ya nyumba yake ambayo anakaribia kuimaliza katika mtandao wa kijamii wa INSTAGRAM leo amefunguka katika redio moja jijini dar na kuelezea gharama alizotumia ambazo ni TSh. milioni 125.
"Natarajia kuhamia siku ya birthday yangu tar 23 April 2014." Madee alifunguka.