Thursday 5 September 2013

MADEE ANAKUJA NA "TEMA MATE TUWACHAPE"


msanii maarufu anaye wakilisha vyema kundi zima la tip top connection madee amesema  kuwa baada ya kutamba sana na nyimbo yake ya" nani kamwaga pombe yangu  ambayo nikati ya nyimbo ambayo imempa mafanikio makubwa katia mziki wa kibongo na sasa ametangaza kuja na ujio mpya yani kivingine kabisa na tema mate tuwachape.
Endelea kuperuzi www.watusmart.blogspot.com ili uweze ku-download na kusikiliza pia joint hiyo mpya siku itakapokua tayari.


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...