Saturday, 12 October 2013

Baba Joinii, Afanya yake katika account yake ya Instagram.

Presenter|Rapper Adam mchomvu anayetamba na wimbo wake wa au sio,
ameweka picha ambayo imekuwa gumzo kwani anaonekana kama kamasi linaning'inia hivi yaani mpaka noma sana...