Wednesday, 9 October 2013

Diamond Platnumz & Wema Sepetu kumbe ni wanatengeneza Filamu!!!Ule uvumi kuwa Diamond Platnumz na Wema Sepetu wamerudiana ni uongo, Soma hapa alichikiandika Diamond kupitia mtandao wake wa instagram
"Katika moja ya Muvie ambazo naimani itakuwa ni Gumzo, Mfano na Bora toka Tanzania basi ni hii...#TEMPTATIONS .... STAY TUNED!!!! SOON!....#DayOne#Location #SomeWhere"