Tuesday, 1 October 2013

Fahamu kuhusu ARMY NANDO's PARTY TOUR itakayofanyika Club Bilcanas

Aliyekuwa mshiriki wa Big Brother Africa (BBA) "NANDO" amekuja na party yake
inayojulikana kama Army Nando's Tour ambayo itafanyika jijini Dar es salaam katika club Bilcanas tarehe 5th October.
Wote mnakaribishwa kwa mtonyo wa Tsh. 10,000/= tu