Wednesday, 2 October 2013

Happy Birthday DIAMOND PLATNUMZ.


Leo ndio ile siku ambayo msanii wa Bongo Flava mwenye umaarufu mkubwa
"Diamond Platnumz" amezaliwa.
Diamond Platnumz ni kipenzi cha kila rika kutokana na nyimbo zake pamoja na mitindo yake ya kucheza kama vile "NGOLOLO" ambayo kwa sasa ni gumzo la JIJI.
WATU SMART ENTERTAINMENT inakutakia maisha marefu na yenye mafanikio
"HAPPY BIRTHDAY DIAMOND PLATNUMZ"