Wednesday, 2 October 2013

Hii ndio tarehe ambayo Album mpya ya Chris Brown "X" itatoka rasmi.

Baada ya kimya kirefu kusubiria album mpya kutoka kwa Chris brwn, Chris brown
amefunguka jana katika account yake ya twitter na kuandika "111913" akihashiria kuwa album yake ya "X" itatoka rasmi tar 19th November 2013.
Kama wewe ni fan wa Chris basi get ready to get your copy!