Saturday, 12 October 2013

Hii ndio List ya Wafungaji 30 bora wa muda wote katika ligi kuu ya Uingereza.

Haya ni majina ya wafungaji 30 bora kwa muda wote  katika ligi kuu ya uingereza
ambapo  christian Ronaldo anashikilia nafasi ya 27 kwa kufunga magoli 84 na Wayne Roneey  akiwa nafasi ya 25 kwa kufunga magoli 86.
Anayeongoza katika list hiyo ni Alan Shearer aliyefunga magoli 260.
List yote iko hapo chini.