Thursday, 3 October 2013

Hii ndio show ya Chid Benz jumapili hii ndani ya Club Billicanas.

Msanii mkali wa Hip Hop Bongo, Rapper Chidi Benz  Atapiga show katika Club Ya
Billcanas, siku ya Jumapili ya Tarehe 06/10/2013 kwa kiingilio cha Shilingi 8000, Pia Rapper huyo atasindikizwa na wakali wengine wakiwemo, TID, Wakazi, Bob Jr Na Linex… Usikose siku hio …