Thursday, 3 October 2013

Tazama Picha za Utengenezwaji Music Video ya Snura - "Nimevurugwa"

Mwanamuziki Snura anayetamba kwa nyimbo ya Majanga, sasa yupo katika
maandalizi ya kutengeneza music video ya nyimbo yake mpya iliyotoka hivi karibuni inayojulikana kama "nimevurugwa"
Sehemu aliyo-shoot video hiyo mpya ni Kigamboni sehemu iitwaayo Kijiji Beach.
Tazama baadhi ya picha alizopiga wakati aki-shoot music video hiyo.