Friday, 4 October 2013

Hii ndio tweet ya Young Buck "member wa zamani wa G-Unit" baada ya kuachiwa huru

Msanii wa muziki wa HIP-HOP ambaye pia alikuwa anaunda kundi la G-Unit
, "Young Buck" ameachiwa huru baada ya kutumikia kifungo cha miezi 18 kwa kosa la kumiliki silaha bila kuwa na kibali.
Baada ya kutoka kifungoni hichi ndicho alichoandika kwenye account yake ya twitter.