Friday, 4 October 2013

Huu ndio ujio mpya wa Shaa baada ya "Lavalava"

Msanii wa bongoflava, Shaa ambaye ametamba na nyimbo mbalimbali kama vile
"shoga, siri ya penzi, lava lava" na vingine vingi sasa yupo jikoni kupika hit nyingine itakayojulikana kama "KAPUUNI" ambayo amefanya katika studio za A.M records chini ya producer Maneke.
Source:BaabKubwa magazine.