Tuesday, 8 October 2013

Hii ni kwa waimbaji wa kike wenye vipaji vya kuimba.

Leo mapema msanii wa Bongo flava, Lady Jay Dee amepost katika facebook
page yake kuonyesha  nia ya dhati kuwasaidia wasanii wanaochipukia katika muziki wa bongo flava.
Kusoma alichoki-post bofya HAPA