Tuesday, 8 October 2013

Huu ni waraka wa DIAMOND PLATNUMZ kwa wale waliohusika kuvujisha wimbo wake wa "Nikifa Kesho"

‘Kuvujisha Nyimbo yangu hakuwezi kunipunguzia wala Kunidhuru chochote
… Sanasana utanizidishia Umaarufu na kunipa Show zaidi… Kama nimeacha kurecord nyimbo Studio kwako Uspanick, Relax.. tafta Msanii mwingine Mkali zaidi yangu umrecordie Ngoma Ahit kushinda mimi… .ila Kuvujisha Unajisumbua bure’ – Diamond
‘Hisia zangu zapelekea kuandika haya nikiwa na uzuni ndani yake kwa kuwa muda nilioutmia na akili nliotumia dhairi ni Mungu Pekee anajua ndio Maana aina budi namwachia Mungu pia….Imani iliyo ndani yangu nikiamini kuwa kutoa ya Moyoni uufanya Moyo kujengeka Upya, Mwenyezi Mungu Atanijenga Upya na kuwaandalia kitu kipya hivI karibuni’ – Diamond


‘Hii ni changamoto kwangu na Kuweza kujua sheria za Muziki wangu na kusimamia Haki zangu’