Wednesday, 2 October 2013

Mh. Zitto Kabwe afunguka baada ya Ney Wa Mitego kumtumia salamu.

Baada ya ney wa mitego kumuimba Mbunge wa kigoma Mh. Zitto Kabwe, sasa Mh.
Zitto amefunguka kupitia page yake ya twitter.