Thursday, 3 October 2013

PIC OF THE DAY:Ommy Dimpoz akiwa katika ubalozi wa Tanzania nchini marekani.

Mkali wa tupogo, Ommy Dimpoz ametembelea ubalozi wa marekani baada ya
kupiga show maeneo tofauti nchini marekani.
Hizi ni baadhi ya picha alizopiga alipotembelea Ubalozi huo.