Thursday, 3 October 2013

PICHA: Baby Madaha akiwa na gari yake aina ya AUDI TT.

Baby Madaha amekuwa ni mwanamuziki mwenye bahati sana baada ya kupata dili
ya mkataba mnono na kampuni ya kenya iitwayo Candy n' Candy ambayo inamsimamia kazi zake zote za kimuziki pamoja na kupewa mkoko aina ya AUDI TT ambao Baby Madaha amepiga nayo picha kadhaa.
Tazama baadhi ya Picha za Baby Madaha akiwa na mkoko huo.