Friday, 4 October 2013

Sikiliza wimbo mpya wa Waka Flocka - "Ice Cream" ambao amem-diss Gucci Mane.

Sasa hii ni kali, Waka Flocka ambaye alikuwa akifanya kazi chini ya Gucci Mane
, sasa ameamua kum-diss Bosi wake huyo wa zamani katika wimbo huu mpya ambao ameutoa siku ya jana.
Hii imekuja baada ya Gucci Mane kuwatukana wasanii mbalimbali akiwemo Waka Flocka kupitia account yake  ya twitter.