Friday, 17 January 2014

Listen|Download--> new Joint_ Ziggy Dee ft. Belle 9 – "Baby Gal"(official music audio)

Ni muungano wa wakali kutoka nchi mbili za Afrika Mashariki, Ziggy Dee kutokea Uganda akimshirikishaBelle 9 toka Tanzania…Ziggy Dee amekuwa kimya kwa mda mrefu kidogo, ila amerudi tena na hii. “Baby Gal ”ndiyo jina la ngoma yenye mahadhi ya Dance Hall/ Ragga..
Isikilize hapa..