Thursday, 27 February 2014

Hatimaye wimbo wa "HAPPY" wa PHARRELL wajikita kileleni mwa Billboard hot 100.

Hatimaye hit maker wa "HAPPY" pharrell amezidi kuongeza furaha aliyonayo baada ya kufanikiwa kushika
namba moja katika chat za Billboard Top 100, baada ya kumtoa Katy Perry aliyekuwa namba moja kwa ngoma yake ya "Dark Horse"
Kwa taarifa zaidi bofya HAPA.