Wednesday 26 February 2014

PNC aomba msamaha kwa Ostazi Juma.

Boss wa mtanashati entertainment, amepost picha pamoja na video ikimwoshesha msanii wake PNC
akiomba msamaha. haya ni maneno yake aliyoandika kupitia account yake ya facebook.

“hahaha jamani mziki ni kazi 
pnc arudi kuomba msamaha ili aendelee kufanya kazi mtanashati”

kuona video bofya HAPA