Friday, 2 August 2013

FLAVIAN MATATA APEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA KIMATAIFA KATIKA TASNIA YA MODELING.

Ikiwa imetangazwa siku chache zilizopita, Forbes Africa imetoa list ya ma-model wakali na wanaofanya vizuri, na model matata kutoka Tanzania "Flaviana Matata" ndani.

Ikiongozwa list na model mdogo mwenye miaka 21 kutoka Angola "Maria Borges" 2013 imemfanya kuwa hot model na mkali kwenye catwalk.
Forbes Africa Magazine ambalo limetoka August 1lina list ya ma-model wengine ambao wako karibu kukamata nafasi ya kwanza ya hotest model ambao ni Ajak Deng (Sudan), Grce Bol (Sudan), Candice Swanepoel (South Africa), Liya Kebede (Ethiopia), Katryn Kruger (South Africa) na mshiriki wa Miss Universe kutoka Tanzania (Flaviana Matata)