Wednesday, 2 October 2013

Fahamu alichokisema Ney wa Mitego kuhusu remix ya "SALAM ZAO"

Ney wa mitego amefunguka kuhusu remix inayokuja ya nyimbo yake ya "salam
zao" ambayo kutakuwa na wasanii takribani sita.
Akizungumza na radio ya Mbeya, Ney amesema amefanya hivyo kuwapa nafasi wasanii hao kusema ya moyoni.
Sikiliza interview hiyo hapo chini