Wednesday, 2 October 2013

Fahamu alichokisema Penny kuhusu mahusiano yake na diamond platnumz huku akimtakia Happy Birthday.

Baby mama wa diamond "Penny" ambae pia ni mtangazaji wa DTV, leo ameandika
katika ukurasa wake wa Instagram kumsifia mpenzi wake anayemuita "sukari ya warembo" Rais wa wasafi Diamond Platnumz kuwa ni mtu anayemfanya ajisikie furaha muda wote na pia amemtakia Happy Birthday. Ujumbe kamili upo hapo chini.