Thursday, 3 October 2013

new Joint_ MarcoChali Foundation ft Daxo Chaa,SlimSal & Bandago - "Waka Mbaya"(official music audio)

Hili ni lile kundi ambalo lipo chini ya MarcoChali ambapo kuna vichwa mbali mbali
vilivyopatikana katika shindano la kusaka vipaji vya kuimba linalojulikana kama "EPIC OPEN MIC".
Sikiliza na pia unaweza uka-download.