Wednesday 26 February 2014

soma hizi tweets za Joti na Masanja Mkandamizaji kuhusu timu ya Manchester United #GGMU

Masanja "David Moyes .... Nimekuweka katika maombi."
Joti "Kwa hii spidi ambayo Man U wanashuka nayo kwenda chini muda si mrefu watagundua mafuta na gesi."